Skip to main content

Successful Event: KARIBU KATIKA SEMINA YA "UJIO WA MFALME WA PENDO" 23-26 NOV 2016

18
0

kanisa la Akuzamu International Church chini ya Roho Mtakatifu kupitia Mtumishi wake Rev. Edward Amri inakukaribisha katika semina ya siku nne itakayo anza tarehe 23 - 26 /11/2016 kuanzia saa 9 Mchana hadi saa 12 Jioni, Semina hii ni ya kufunga mwaka njoo upokee kufunguliwa kwako maana Yesu anasema njooni nyote msumbukao na kulemewa na Mizigo nami nitawapunzisha.. Pengine mwaka huu haukuwa mzuri kwako je, unataka na mwaka ujao wa 2017 uendelee kuwa na Mizigo uliyokuwa nayo kwa mwaka huu na kama sio hii Semina imeandaliwa kwa ajili yako njoo ufanywe upya utu wako wa ndani na upokee Amani ya Mungu na Upendo wa Mungu na Afya mifupani mwako
Usipange kukosa usimruhusu shetani kukuwekea vikwako. Semina ni Bure hakuna kiingilio Mkaribishe na Mwenzako

admin