Skip to main content

MWL. NICKSON MABENA | Tukikumbuka tulipotoka; TUNAPATA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU maana hayo ni MAPENZI YA MUNGU KWETU katika KRISTO!

6
0

Yesu ni YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE; aliyetutoa PALE Jana atatufikisha KULE Kesho!

 

Kuliko kuendelea KUKAA CHINI sababu ya KUKATISHWA TAMAA, KUPIGWA VITA, KUWEKEWA VIKWAZO, NA KUZUILIWA KWINGINE KWINGINE ni heri tukatumia 'Lugha ya WAKOMA'

 

"Tukisema TUKAE HAPA tutakufa kwa NJAA; tukisema TWENDE MJINI tutakufa lakini NI AFADHALI KWENDA kuliko kufia hapa"

 

Mtu aliyechukua hatua ya KWENDA MBELE Siku zote BWANA HUAMUA KWENDA NAYE!.

 

Ukiamua KUKAA kisa UMEVUNJWA MOYO, UMEZUILIWA, UMEJERUHIWA, UMETUKANWA ujue NDIO UNAKUFA HIVYO huku unajiona;

 

'HATUA ZA MTU' ZITAONGOZWA NA BWANA!!.

 

Usikae CHINI; INUKA TWENDE".

 

Mwl. Nick

©Kagera, Nchi ya Maziwa na Asali

 

0712265856

(WhatsApp#)

admin